SomBeat.com
Music for Everyone

SomBeat.com

img

Pili

Rock

47 Views
Share whit Friends
Share Direct Link

My wangu Mpenzi wangu Malkia wangu Pili mom Natamani sana uwe karibu yangu, Uwe rafiki yangu, Umeshaziteka hisia zangu, Pamoja na moyo wangu, Mapenzi yote yaoneshe kwangu, Uwe mfariji wa moyo wangu, Wakulitunza pendo langu, Mama weeeh. nakupenda sana wee nakuwaza sana weeh, nakupenda sana wee Njoo unipoze roho, oo nakupenda sana wee nakuwaza sana weeh, Njoo unipoze roho I love pili (i need you baby) Natamani mda wote kua na wewe, Nisipokuona ninapata kiwewe( Mwenzio) Kuna kipindi flani weeeh natamani mwenzio,, Mda wote kmtutazamane machoni mama weeh, Na Wenye wivu wanasema sana, (weee) Ila mimi siwasikilizi mwenzio, Mwenzio nakupenda sana weeh. Unasauti nzuri sana weeeh, Unamacho flani mama weeh, nakupenda sana wee nakuwaza sana weeh, nakupenda sana wee Njoo unipoze roho, oo nakupenda sana wee nakuwaza sana weeh, Njoo unipoze roho I love you (I love pili) I need you (I need pili) I love you (I love pili) I need you (I need pili Nakupenda sana wee Nakuwaza sana wee Eieee Ni Laizer record Ee nipo na pili wangu


Download Music and Video


Sign up now and you will be able to download MP3 videos and music!