SomBeat.com
RADIO MARIA
Gospel
Share Direct Link
--- intro; gata music x3 Verse 1; Redio Maria, sauti ya uzima, Inaeneza nuru, katika kila familia, Kwa habari njema, na mafundisho ya kweli, Changia sasa, bila kuchoka, Kwa neema ya Mungu, tutaweza. Sauti ya Kristo ikasikike nyumbani na mitaani kote. Chorus; Changia Radio Maria, tuishi utume wa kweli, Changia Radio Maria, tuieneze Injili, Kapu la Mama tulijaze, Sauti ya Kristo nyumbani mwako. x2 Verse 2; Radio Maria, ni chombo cha wokovu, Changizo letu, ni mwanga kwa wengine. Kwa moyo na nia njema, tuijenge kwa nguvu. Tusikose, changizo kwa Radio Maria, Sauti ya Kristo, nyumbani na kanisani, Tusaidiane, sauti isikike kwa wote, Kwa upendo na imani, tuchangie kwa wingi. Chorus; Changia Radio Maria, tuishi utume wa kweli, Changia Radio Maria, tuieneze Injili, Kapu la Mama tulijaze, Sauti ya Kristo nyumbani mwako. x2 Verse 3; Kila kitu tunachoweka ni baraka, Kwa Yesu twajenga, imani tukishika, Kwa maombi na sala, Mama Maria twamfurahisha Changizo letu litasambaza Injili kwa wema, Katika milima na mabonde injili ikasikike kote. Chorus; Changia Radio Maria, tuishi utume wa kweli, Changia Radio Maria, tuieneze Injili, Kapu la Mama tulijaze, Sauti ya Kristo nyumbani mwako. x2 Bridge; Tusimame pamoja, tushikane mikono, Kwa Radio Maria, tutaleta mwanga kamili, Katika giza la dunia, ni nuru ya kweli, Kapu la Mama tukilijaza kutakuwa na baraka tele. Chorus; Changia Radio Maria, tuishi utume wa kweli, Changia Radio Maria, tuieneze Injili, Kapu la Mama tulijaze, Sauti ya Kristo nyumbani mwako. x2
Download Music and Video
Sign up now and you will be able to download MP3 videos and music!